MTUNZI:ZUBERI MARUMA
MWANZO
UTANGULIZI
Mapenzi ni hisia kamilifu zitokazo ndani ya moyo wa mwanadamu,nimekukabidhi hisia zangu kwa kuwa umejitoa kwa ajili yangu kwa kunikabidhi moyo wako
Kwa nini nisikupende NASRA?!
Mengi magumu tumeyapitia yalohatarisha maisha yetu,yote ni kulinda penzi letu
Hivyo vyote ndivyo vilivyo ongeza ladha maridhawa ya kukupenda
NAKUPENDA NASRA.....
**********
GODNAND ni kijana wa kwanza katika familia ya watoto wawili.
anaishi yeye na mdogo wake aitwaye DICK
Katika nyumba ya mama yao aliyefariki kwa ajali ya gari ,wakati akitoka kazini,
baada ya mazishi kuisha kikawekwa kikao cha ukoo .kikao cha familia
Kikao ambacho kilipendekeza mashamba na nyumba yarithiwe na mjomba.Ambaye atachukua jukumu la kuwalea watoto(GOD na DICK)
Ikabidi mjomba ake GOD ALEX akiwa na mke wake MERY na mtoto wao MERINE waje waishi katika nyumba ya marehemu dada yao
Baada ya siku kadhaa MERY mke wa mjomba ake GOD akaanza manyanyaso kwa kina GOD
Na DICK akiwanyima chakula,
Ikabidi GOD atafute vibarua mtahani ili hapate ela ale yeye na mdogo ake.
Siku moja GOD alirudi nyumbani na kumkuta MERINE mtoto wa mjomba ake anakata mkungu wa ndizi shambani,
god analeta shida na kumpiga,
Merine huku akilia anaenda kusema kwamama yake
MERY anakuja huku hasira zikiwa zimempanda,na kuanza kumtukana GOD Ugomvi mkubwa unazuka,
Wakirushiana maneno majirani wanakuja kuwahamua
ALEX mjomba ake GOD baada ya kutoka kwenye miangaiko anamkuta mkewe kafura kwa hasira,
anamuuliza tatizo mery anamwambia juu ya kubadilika kwa GOD
ALEX anamwita GOD na kumuuliza sababu ya kugombana na mke wake.
"Sikilizaiza nkwambie mjomba mimi ni mtu mzima na si mtoto kama udhaniavyo na haki ya kuangalia mali ya wazazi wangu,sitokubali nione icho kimdoli chako kikiharibu ndizi zangu nami nikiwemo,
"mjomba: "eti nini?"
Huku bumbuwazi likiusoma uso wake
god: "sirudii mim nnachoitaji ni hati ya mashamba na nyumba hizi ni mali za wazazi wang naitaji niziongoze mwenyewe
"mjomba: "god unadharau koo,mila na desturi siyo?"
god: (huku akiwa na hasira) "akuna cha ukoo,wala mila amtaishi kwa amani nyinyi bila kunikabidh mali za marehemu mama yangu sawa?"
Alimalizia GOD na kuondoka! ,akimwacha mjomba wake ktk hali ya sintoamini
"dah huyu mtoto sasa ananipanda hadi kichwani ngoja sasa ntamwonesha,ni mdogo tu awezi nizidi mimi akili"
No comments:
Post a Comment