Wednesday, December 21, 2016

RIWAYA ; ROAD TO 2017

RIWAYA ;ROAD TO 2017

USIKU WA KAFARA!

31  DICEMBER

Ilikuwa bado masaa sita siku igeuke kisha mwaka 2016 upite na kuupisha 2017 ,macho mengi ya watu yalisubiria kwa hamu hayo masaa machache yaliyo bakia waweze kuushuhudia usiku mpya wa mwaka 2017 ,wengi wali subiria masaa yale wakiwa sehemu za starehe wakipata moja moto na nyingine baridi na baadhi waliusubiri mwaka mpya katika nyumba za ibada  na wengine majumbani mwao.
Shamra shamra kutoka kwenye kila kona ya dunia zililindima kutoka kwa watu walio usubiri huu mwaka kwa hamu ya ajabu .

JUA ndo kwanza lili kuwa linazama likizungukwa na rangi ya wekundu na kulifanya liwe la kuvutia kulitazama.

Pembezoni mwa kijiji cha muvila nje kidogo ya mkoa wa pwani kulikuwa na msitu ambamo humo kuna viumbe vilivyo changamana na baadhi ya binadamu navyo vikiusubiria huu mwaka 2017 , lakini wao wali usubiri kwa hali tofauti na yaa ajabu sana!

Naam! ni pembezoni ya pango liliopo ndani ya kimsitu kile ndipo kulikuwa na watu waliokaa mistali miwili iliyo tazamana wakiwa wanevalia nguo za ki mila na tena zilikuwa nyeusi na watu hawa hawa kusema wala kunong'ona  !

Ulikuwa ni mkao wa kustaabisha sana pembeni ya pango lile.

Ndani ya pango kulikuwa na mwili uliofanana na maumbile ya kibanadamu wenyewe ulikuwa mrefu ya pata futi nane kasoro na urefu huo ndio ulio tambulusha kuwa ule haukuwa mwili wa bina damu wa kawaida!

mwili huu ulikuwa umelala juu ya jiwe ambalo lilikuwa limefanywa kama kitanda jiwe hili lilikuwa limechongwa kwa mikono na bila shaka lili tengezwa na jamii isiyokuwa ya binadamu wakiwa na nia ya kulipendezesha!

Pembeni ya mwili huo kulikuwa na kizee kikongwe kilichokuwa kimeshika fimbo iliyo kunjwa sehemu ya kushikia , kikongwe alionekana kuwa jinsia yakike!
japo alikuwa ni mzee na kupinda mgongo (kibyongo) ila bado nae alionekena kuwa ni mrefu kama mwili uliolazwa juu ya jiwe.
Niwazi wote wawili hawakuwa binadamu wa kawaida..

"Ni kwa miaka mingi tumiishi kwenye hii dunia ya binadamu wenye uhai mfupi ...na leo GOROZA atafurahi  tutampa zawadi nyingi kisha atakurudisha kutoka kifungoni na wewe GUNZANI utarudiwa na uhai kisha utandeleza utawala huu" yule bibi kizee aliongea huku akitazama sanamu  iliyo kuwa pembeni yao na sanamu hiyo ndio iliitwa goroza ,
kisha akaushika mkono wa ule mwiliwa kiume ulio lazwa juu ya jiwe
"GUNZANI...." alimuita na kujaribu kuongea nae kwa hisia mwili ule ambao haukujitikisa hata kidogo !

Nje ya pango wale watu waliokaa kwa kutazamana sura zao ghafla ziliijiwa na furaha baada ya kumuona mtu ambae kwa hakika hakuwa mtu wa kawaida akitokea nyuma ya pango akiwa amembeba msichana mdogo begani akiwa kamviringisha kwenye kitambaa cheusi
"Aabudiwe goroza na aheshimiwe msaidizi wa gunzani kwa kuleta sadaka ya leo usiku" watu wale ambao kwa hakika kabisa walikuwa ni binadamu wenzetu walitamka kwa pamoja...
Wakainuka kumlaki huku mmoja akimpokea msichana kutoka begani kwa mtu yule
"mzee juma mfungue na umwandae kwa ajili ya sadaka " yule mtu ambae ni msaidizi wa gunzani mwenye urefu takribani futi saba kasoro aliongea...

Mzee juma alimchukua yule mtu alie vingirishwa kwenye shuka jeusi gubi  gubi , akamuweka kati kati yao na kuanza kumfungua na kila mmoja akiwa na hamu ya kumshuhudia msichana yule ambaye kwa hakika anahitajika kufa kifo cha kunyonywa damu usiku.

Mzee alifungua msichana yule na hapo urembo wa msicha yule ukadhihrika kwenye macho ya kila mmoja, ila macho mawili kati ya watu wale hawa yalikumbwa na mshangao na hali ya kuto amini.

"Mkuu huyu ni mwanangu..diana"  sauti ya mama moja kati ya watu hao ilisikika huku akimtazama mwanae juu ya shuka jeusi akiwa hana fahamu.
"Ah mama DIANA siku ya leo kijijini nime kosa kabisa vigoli kwa ajili ya goroza wasichana baadhi wapo makanisani na wengine likizoni kwa ndugu zao hivyo ni kigoli diana pekee ndie nilie mkuta kijijini.... leo goroza atakunywa damu ya mtoto wa mwanachama mwenzetu" yule msaidizi wa gunzani alifahamika kwa jina la gola aliongea huku akitabasamu na kumchukiza mama diana
"HAIWEZEKANI GOLA" mama diana ali maka
"ah nini tena mama diana?  sisi sote tunaishi ndani ya moyo wa goroza japo nyie ni binadamu na sisi ni majini tunao jivisha miili na taswila za kibinadamu acha goronza anywe damu ya diana ili mkuu gunzani arudi kwenye madaraka" gola alifafanua na wale wengine waka afiki kwa kutingisha vichwa...

Mama diana hakutaka kukubali kwani alijua ni wazi kwamba nitamaa za kimwili zilizompelekea gola kumkamata diana mwenye sifa za urebo kwani kabla ya damu ya kigoli kumfikia goroza hua lazima gola amuingilie kimwili kigoli huyo mpake apoteze fahamu kisha huawawa..

"wewe mpuunzi na jua ni tamaa za kumtamani mwanangu nasema sikubali" mama diana alipinga vikali

"Umeniita mimi mpuuzi" gola aliuliza huku akisogelea mama diana huku akiwa kachukia kama mbongo
"ndio matamanio yako unaleta kwa mw".. kabla hajamaliza sentesi yake mama diana alipigwa kifuani pigo zito kutoka kwa gola na kutupwa  hewani na kuanguka nyuma hatua kadhaa ... yowe kali lili mtoka mama diana na kusababisha magwi ndani ya msitu ule. yowe lile lifika mpaka pangoni alipokuwepo kuwepo yule bibi kizee na mwili wa gunzani.

*************------***********
Gari aina ya land cruser iliyo kuwa ya kampuni la utalii ikiwa ime pakia wasichana watatu na wanaume wawili pamoja nadereva jumla walikuwa sita ndani ya gari ile iliyotumika kubeba watalii kutoka nje ya nchi lakini siku hii ilikuwa haina raia wa kigeni hata mmoja gari ile ilikuwa imepakia vijana wa kitanzania waliokuwa na urafiki mkubwa.

Safari yao ilikuwa ni ndefu sana walikuwa wametokea mbuga za mikumi na sasa walikuwa wameipita morogo wakielekea  kuuikalibia msata ambapo walipanga wange katisha na kuifuata bara bara inayo elekea KIWANGWA kisha wapasue msitu na waingie kijiji cha MVILA ambapo wange shika bara bara inayo ilekea bagamoyo ambako huko walisubiriwa na wana chuo wenzao kwenye hotel mpya iliyokuwa  pembezoni mwa mwa ufukwe maridhawa.

Wote waliokuwa kwenye gari hili walikuwa ni wanafunzi wa chuo kasoro dereva yeye alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni la utalii.

dereva aliendesha gari kwa mwendo usio wa kawaida alihitaji awahi kufika ili waanze kusherehekea usiku wa mwaka mpya.

Ghafla wakati akiendelea kukimbiza gari aliwaona asakali wa barabarani hatua kadhaa mbele wakimpugia mkono na kumsimamisha hakuwa najinsi ikamlazimu kupunguza mwendo.

"Aisee unaendesha gari kwa fujo tumezipata habari zako kutoka kijiji ulicho kipita sehemu ya kuendesha speed hamsini wewe umeendesha speed zisizo pungua mia... ongoza gari kwenye kile kituo chetu tukague gari yako" asakali wa bara barani aliongea huku kichwani mwake akiwaza kuwa lazima apate dollar nyingi kama hongo kwani alijua gadi ile imebeba watalii wa kizungu...

Dereva aliendasha gari mpaka kituo kile kidogo kisha akashuka akifuatiwa na wenzake..yule askali uso ukamshuka baada ya kujua wote mule ndani walikuwa ni watanzania wazo la kupata dollar likamyayuka ghafla...

"kagueni mizigo yote humo ndani" akawaamulisha wenzake yeye akawa ana muhoji dereva

"unaitwa nani?"

"baraka "

"unatoka wapi?"

"mimi ni dereva wa watalii ndani ya nchi natoka mikumi na watalii wangu" baraka alijibu na kumkabizi liseni yake pamoja na nyaraka za watalii wake..
askali akawa anazipitia mara ikasikika sauti kutoka kwa askali waliokuwa wanashusha mizigo na kuikagua gari
"afande kuna bunduki ndani ya gari lao" sauti ilimshitusha askali alio kuwa anamuhoji hadi watalii wale walihamaki macho yao yakimtazama askali alie shikilia bunduki ilio kutwa ndani ta gari.
"kha! wewe nini jangili..?"  askali alimuhoji baraka huku kichwani akiona ameshapata deal
"kila dereva ana kabidhiwa bunduki na kampuni kwa ajili ya kujitetea anapo kutana na matatizo safarini" baraka aliongea bila wasi wasi akaingiza mkono mfukoni na kutoa hati miliki ya bunduki ile.

Askali akachoka..

"ok unapigwa faini ya kuendesha gari kwa mwendo usio salama kijjini hivyo unatakiwa kulipa faini ya elfuthelathini" askali aliongea na baraka akatoa waleti na kumuhesabia pesa ile.
"pakieni vitu vyao waondoke.. ila kijana muda umeenda ni hatari kusafiri na watalii usiku" askali alitimiza wajibu wa kiusalama
"tunaenda kulala chalinze" baraka aliongea uongo kumdanganya afande
"ok safari njema ...naona vijana wameweka mambo sawa"

Baraka na wenzake wakaingia kwenye gari na kuondoka bila kujua pale chini walisahau kidumu chao cha maji cha lita tano kilicho sahaulika kupakiliwa na wale askali...

hili lilikuwa tatizo kwenye safari yao!

Baraka aliendasha gari na kuingia msata kisha akaiacha bara bara inayoelekea mbezi yeye akaelekea bara bara  inayo katiza kijiji cha mvila kuelekea bagamoyo na jua lilikuwa lina zama!

**********;*;;*;;;****************

Yule bibi kizee aliuacha mwili wa gunzani na kutoka nje ya pago ili kujua yowe lile lilikuwa la nini hasa
"kuna nini wana wa gozola" kikongwe yule aliuliza
"huyu mjiga mama diana hataki mwanawe kuwa zawadi kwa gozola" gola alidakia

"Hatuna haja ya kuuana sisi kwa sisi leo usiku mtapata damu ya kutosha na gozola atalizika.... kuna watu wanakuja kupitia ukanda huu leo leo wote sita watakuwa chakula chetu usiku huu" bibi yule kizee aliongea kwa sauti ya juu huku kichwani mwake akiwaona wale watalii wakiendeshwa na baraka....!

"ndio wanakuja kupitia barabara jirani leo tutafurahia damu zao" aliongea tena kwa msisitizo. itaendelea..

simulizi hii ni bure na ni special kwa mwaka mpya. like share coment...

Saturday, December 10, 2016

CINDERELA

Once upon a time, there was a pretty young girl named Cinderella. She lived with her widowed father. He loved her very much, but thought she needed a mother. So he married a woman with two daughters named Anastasia and Drizella. Not long after that, he died.

Cinderella’s stepmother, Lady Tremaine, spent most of the family fortune. She forced Cinderella to become a servant and live in a cold, dark attic. Day in and day out, Cinderella did all of the household chores—from feeding the chickens to polishing the chandeliers. She waited on her stepsisters and stepmother hand and foot. Yet nothing she did ever pleased them.

No matter how mean her stepmother and stepsisters were, Cinderella was always cheerful. She made friends with the mice and birds and even sewed little outfits for them. Two of Cinderella’s best friends were mice named Jaq and Gus.

One day, a messenger delivered an invitation to a royal ball. It was to be held that night at the palace. All the unmarried maidens in the kingdom were invited—the King wanted to find a wife for his son.

“Why, that means I can go, too!” Cinderella cried. Her stepsisters just laughed at her. They thought it was funny that a servant would think she could go to the ball.

“Well, why not?” asked Cinderella. “It says, ‘By royal command, every eligible maiden is to attend.’”

Her stepmother looked at the invitation. “Well, I see no reason why you can’t go,” she said, “if you get all your work done and if you can find something suitable to wear.”

Cinderella was delighted. She ran upstairs at once.

In her attic room, Cinderella opened her trunk and found a pink gown that had belonged to her mother. It was a little old-fashioned, but she knew she could make it into a beautiful dress.

TO BE CONTINUE

Friday, December 9, 2016

NAKUPENDA EPSODE 2

KIPANDE CHA PILI

Moyo wa ALEX mjomba ake GODNAND uliuzunika sana

.mtoto wa dada yake alimpanda kichwani, akukubali kirahisi akaamua kufanya jambo!

Jambo ambalo alijua ndo la muhimu kulifanya kabla ajachukua hatua mbaya zaidi kwa mtoto yule alomkosea heshima.

."ni lazima niwaitee wazee wa koo wamkanye la sivyo nita onekana natesa toto la mtu!"

Akajiwazia na kukubaliana na jibu lake la kuandaa mbuzi kwa wana ukoo kuweka kikao cha kuwajuza.

siku ya siku ikawadia...akiwa mbele ya wazee wa ukoo akaanza kueleza

"Wazee wangu!,nyinyi ndo mmeniteua kuongoza mali za dada yangu!,
nikakubali kwa moyo mweupeee!,
ila sasa huyu mjomb angu mtoto mkubwa wa dada GOD alipofikia ni pabaya,

ajali kama mimi ni mjomba ake...

.(miguno ya wazee wale ika shamiri ila ilo alikufanya kijana yule aache kueleza!"

ananijibu atakavyo,na mbaya zaidi anaitaji nimkabidhi hati za mashamba na nyumba pia!"

"haaa!"

miguno ikarejea

"ilo aliwezekani!" mzee mmoja akatamka

"ni mtoto mdogo huyo awezi sema haya!"

babu mwingine alimtetea GOD,

wengine wote wakamuunga mkono!

"embu aitwe haraka huyo GOD tutajua mkwel ni yupi!"

mzee mwingine alokuwa kimya muda wote naye akatoa dukuduku lake lililoungwa mkono na wazee wote,

alex akanyanyuka na kwenda kumuita god alokuwa ndani muda wote

"sikia wazee wangu bora hata mmekuja!,.....mimi nishakuwa na najua zuri na baya,ivyo uwezo wa kuziongoza mali za marehemu mama yangu nnao hvyo nshamwambia huyu siku nyingi hataki kunisikia naombeni mali zangu

lasivyo!,..

Lasivyo kwenye hii kaya patawaka moto"

Aliongea GOD kwa hasira! wazee wote walibaki na butwaa,pasina kuamini kuwa maneno yale  yalitoka kwa mtoto yule
GOD akaondoka na alipoufikia mlango wa kuingilia ndani akageuka

" na msipofanya ivyo sitosita kumwaga damu ya mtu nimemaliza."

alivyomaliza akaingia ndani.hasira za wazee wa ukoo zikawapanda,waliona ni jambo la ajabu kwa mtoto kama GOD kuwadharau,na kukiuka mila na desturi.
wakampa idhini mjomba amfanye chochote mtoto yule wakimtoa rasmi katika ukoo wao.ni jambo ambalo ALEX alilisubiria!...


Sent from my Vodacom Smart

Iblame my body

RIWAYA   : I'BLAME MY BODY ( NAULAUMU MWILI WANGU ) Imezaminiwa na   Simulizimahiri.blogspot.com Mahakama kubwa ya kesi za jina...